Welcome to our website !

Karibu 3Js Kitchen and Home Appliances!!

By April 03, 2017

Kwa mkazi wa Mwanza ambaye umechoka kununua vyoimbo vya jikoni vya sare sare sasa tumekuletea suluhisho la mahitaji yako ya kabati la vyombo.

Hapa 3Js Kitchen and Home Appliances tunakuletea vyombo vya kisasa na Unique kwa ajili ya mtu anayependa vitu vizuri na vitu bora. Tunakuletea vyombo imara na ambavyo hutavikuta sehemu nyingine yeyote hapa Mwanza na KWA BEI NAFUU SANA.





Duka letu linapatikana mtaa wa Greenview Mwanza. Lakini tutakufikia popote ulipo Mwanza tupigie simu kwenye namba hii 0744 71 73 31.

Karibu sana 3Js Kitchen and Home Appliances- Mwanza

You Might Also Like

0 comments